Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Ukiona choo ndotoni usikitumie.. Chadema huu ni mtego kwenu, msimchukue Membe
 
Tatizo la huyu mheshimiwa hasemi sera yake ya urais ni ipi; kama anaunga mkono
1. Katiba Mpya (ya Warioba),
2. Tume Huru ya Uchaguzi,
3. Democracy, Haki za Binadamu na Utawala Bora;

Ajitokeze sasa na kutamka hivyo waziwazi kabla ya yote! Vinginevyo atakuwa 'fisi' aliyejivika ngozi ya mbuzi. Haitoshi kusema anagombea urais kupitia CCM au chama kingine kama anaficha sera yake ya kuutaka urais ni nini. Huu ndiyo uroho wa madaraka.

Vyama vya upinzani vinakwamishwa kwa kila kimoja kuwa na sera yake, kama vile wanashindana wao kwa wao! (Uroho wa madaraka). Na ndiyo maana wananunuliwa kirahisi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Membe bora akaanzishe Chama chake kama Alivofanya ZZK asije kabisaa UPINZANI, tunakumbuka sana 2015 kwa alivyotufanya Mr ma-mvi!
 
CCM hatari sijui polepole walimtoa wapi, hayuko kwenye kundi la vijana wala wazee. Kuna kipindi anaonekana kazee. Hapohapo kama mculana, yaani namuona wa ainayake. Sasa hicho cheo walichompa, ndo CCM kwisheni, kinachosaidia ni kuwa na dola vinginevyo kingekuwa kama chama cha vikoba

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mbavuu zanguuu, hii nimeichukua
 
Sasa katiba ya nini kama mtu kuwaza tu kugombea urais tayari hustahili kuwa mwanachama? Hii nchi na vyama vyake vyote ni uozo mtupu.
 
Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.

CCM wangemuacha tu agombee.

Asingeweza kumshinda Magufuli ktk kura za wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.

CCM ina tabia ya kutumia mabavu hata ktk masuala yasiyohitaji mabavu.
 
stella1975,

stella1975 acha kutisha. Tangu lini Membe akakubalika kuwa mgombea nafasi ya Rais hata ndani ya Chama? Wapi nimesema bunduki? Kuchwe lituwe Membe mwisho wake ndio hapo. Hiyo mwaka 2015 alibebwa na swahiba wake, mtoto na shemeji na asingefika popote kulinganisha na kazi alizofanya Magu kwa wakati ule.
 
Binafsi naona naona ni muda muafaka kwa membe kujiunga na upinzani wa kweli ili kutimiza ndoto zako za kuwa tz President... Karibu act

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom