ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Comment hiyo aliitoa baada ya kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment hiyo aliitoa baada ya kufa?
Muda utasemaMembe hawezi kwa namna yeyote kumkaribia Julius Malema, let alone Mandela.
Daaah mbavuu zanguuu, hii nimeichukuaCCM hatari sijui polepole walimtoa wapi, hayuko kwenye kundi la vijana wala wazee. Kuna kipindi anaonekana kazee. Hapohapo kama mculana, yaani namuona wa ainayake. Sasa hicho cheo walichompa, ndo CCM kwisheni, kinachosaidia ni kuwa na dola vinginevyo kingekuwa kama chama cha vikoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama umeingiwa jazba mzee baba? Mwamesha kinehe!Nayeye kama ana nia yakugombrea Urais siaende chama chochote? Kwani mpaka CCM?
Sasa kwanini kafukuzwa uanachama?Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Kwa nyumbu wa ufipa hawawezi kulitambua hili. Subilia kwanza akili itawarudia mwaka 2021 wakati Membe anarudi nyumbani.Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Sasa si ujibu hoja zangu mbona kashfa ndio zinazotaradadiCherenganya,
Hayo maswali unamuuliza Nani kwa mfano. Ungekuwa mjuzi wa mambo ungekuja na majibu ya hayo maswali kwakuwa ndio maswali yetu watanzania na kwa hakika majibu tunayo. Unachokifanya no kutaka kutuaminisha upuuzi na kuuficha ukweli.
Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.
Si ajifunze kwa Lowassa?Hujui nyuma yake walikuwepo kina nani!