Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!


CCM hawajamgusa huyu memba, walijua atanuka kweli. Walichokifanya ni kutupa jongoo na mti wake.
Sasa watakao mgusa huko alipotupwa ndio atakaowanukia.
 
Nyumbu ni neno linalotumika kuonyesha watu wanaofuata mkumbo bila kupima mambo. Hivyo basi hata uhuru wa mtu kufuata atakacho bila tafakari ni unyumbu.
Kwa maelezo yako basi hata wewe ni nyumbu!
 
atakaye skia harufu ya mnuko wa huyu kachero anitag! maana oxygen huku niliko bado iko pure kabisa.
 
Kumjadili Membe kwa sasa kuhusiana na CCM ni kupoteza muda atanuka wapi wakati sasa kafukuzwa na si mwana CCM,si alitaka uraisi basi sasa aanzishe chama chake au awe mgombea mwenza wa Hashimu Rungwe ,kama ana nguvu basi sasa ni wakati wake kwani yupo huru tuone hiyo jeuri yake nje ya CCM.
 
niliwaambiaga hamkuamini hata kidogo...angalieni sasa!
 
tunasahau haraka sana, huwa tunapenda kukera wengine huku sisi hatupendi kukerwa..
 
Kweli amenuka maana mwendazake kashaanza kunuka huko
 
Ameishanuka...jiwe yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…