Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Mangula yu buheri wa afya. ICU maana yake ni sehemu yenye uangalizi maalum na anaweza kupelekwa mtu yeyote, ingawa wabongo wengi tunadhani ICU ni kwa wagonjwa waliokua mahututi
ICU ni Kwa wagonjwa mahututi wanaohitaji uangalizi wa karibu. Ila haina maana kuwa kila mgonjwa aliye ICU atakufa, wengine wanatoka wakiwa wameimarika vizuri na kuendelea kufanya kazi zao.
Tumuombee huyu mzee apone na aendelee na majukumu yake.
 
Wewe kijana wewe, achana na habari za huku. Otherwise utoke kwenye box huko uje tulimie wote meno ndo upate uhalali wa kupiga kelele zako.
Aiseee chalii yangu una undugu na huyu.
IMG_20200302_114000.jpg
 
Bwana mdogo acha porojo jamvini. Je aliiba ama hakuiba rambirambi??

Hapo mwanzo kulikuwepo na zimwi kubwa. Siku moja lilimeza watu katika kijiji kizima. Alibakia kijana mmoja tu alie kuwa mbali ya kijiji alikofanyishwa kazi za kuchunga mifugo na kulisha mifugo. Siku hiyo alijitokeza mbele ya hili zimwi kubwa...... Itaendelea!
 
Jikite kwenye mada mada wewe mkaldayo acha porojo jamvini fanya kazi
 
Back
Top Bottom