Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Huyu Membe si chochote wala lolote na kujitutumua kwake.
1. Hana mvuto kwa watanzania wengi.
2. Hana jambo muhimu la maana alofanya kwa watanzania tukasema anafaa urais.
4. Ni mtu anae penda mikogo na kujimwambafai wakati hana impact yoyote ya uongozi katika jamii.
5. Urais uwa hauoteshwi ni Mungu ambae upanga kila kitu liwe jema au baya kwa mwanadamu Mungu anamtazamo mwingine.
6, Anapenda kujionesha ni mtu wa falsafa na misemo lkn misemo yake haina mvuto matokeo yake analeta misemo inayo mchafua mwenyewe. Ajifunze misemo kwa Kikwete, Mwinyi na hata Nyerere misemo yao iliigwa na jamii. Si yeye kuwaza misemo ya Membe kunuka kama embe lililooza.
7, Lowasa na Mrema hawa ndo walikuwa na nguvu nakuitikisa CCM lkn si huyu Membe.
Pole kwa kutimliwa hata kama ulijua, kutimliwa ni aibu. Imechafua utumishi wako kwa Taifa hili. Acha tamaa na kuvimbishwa kichwa. Nawe ukajiona. Tulia ule ulichovuna enzi zako.