Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Mambo ya siasa ni magumu sana.
Yawezekana vikao walivyokuwa wanakaa walisha msafisha na kupulizia pafume, kwa hiyo sasa hanuki tena hata akiguswa.
Mkuu;
Yaani walimsafisha halafu wakaamua kumfukuza uanachama?
 
Nipo hapa getini nasubiri harufu itoke lakini bado labda kuna gari ya chooni inakuja, nitawataarifu kikinuka au labda harufu itatokea sehemu nyingine.

Link ya audio ya Membe tafadhali
Mkuu;
Ninashindwa kuelewa kama ulichokiandika kiko kwenye lateral thinking au una maanisha kama maoni yako ulivyoandika!
 
Jamii Forum imechangia kwa kiasi fulani downfall yake.Membe,alipewa misifa iliopitiiliza nae akaamini hivyo.
Mkuu;
Ninakubaliana na maoni yako!

Mzee Kikwete aliwahi kusema, ''akili za kuambiwa changanya na zako''! Membe hakuchanganya na zake bali alitumia pekee akili za kwenye mitandao ya kijamii!
 
Namshauri anyamaze tu, awe Mpole na akubaliane na Maamuzi huku muda wake mwingi akiutumia Kupumzika na Kufanya Kazi zake tu za Kiujasiriamali.

Awe makini mno kwani yajayo hayafurahishi kwa upande wake na kama kuna Watu ambao anatakiwa awe nao makini ni Watanzania wa Mitandaoni ambao wengi Wao ni Wanafiki kupita Maelezo ambapo yakitokea ya kutokea atajikuta amebaki peke yake tu.
 
Mkuu;
Ninakubaliana na maoni yako!

Mzee Kikwete aliwahi kusema, ''akili za kuambiwa changanya na zako''! Membe hakuchanganya na zake bali alitumia pekee akili za kwenye mitandao ya kijamii!
Unaulizwa ujasikia harufu mbaya ICU? Au unasubiri jamaa yenu mkuu apate fangus za poumbou muamini membe kanuka kweli?
 
Namshauri anyamaze tu, awe Mpole na akubaliane na Maamuzi huku muda wake mwingi akiutumia Kupumzika na Kufanya Kazi zake tu za Kiujasiriamali. Awe makini mno kwani yajayo hayafurahishi kwa upande wake na kama kuna Watu ambao anatakiwa awe nao makini ni Watanzania wa Mitandaoni ambao wengi Wao ni Wanafiki kupita Maelezo ambapo yakitokea ya kutokea atajikuta amebaki peke yake tu.
Arudishe kwanza Kiwanda chetu cha kubangua koroshonnnnns

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbuke kuwa huyu BCM ni kachero mbobezi kwa mujibu wa taarifa zilizopo!

Kwa hiyo hatuwezi kujua nini kitatokea badae![emoji4][emoji4]!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom