Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Kwanza na-declare interest, mimi namsapoti Membe kwenye urais kwa 93%. Membe alimaanisha kibajaji hutumika kama mbeba kinye... hivyo akimgusa atamchachua na kumnukisha! sasa alimpa go ahead kwamba hatishwi nae amchafue tuu hawezi mwogopa kilaza yule!!

Tusipende watu waanguke ingali hawajaikosea nchi hii lolote!! Lowasa,Membe,Sumaye nk hawajaikosea nchi labda walitofautiana na kikundi flani chawatu sio lazima wooote tuwe na mrengo mmoja hata kwenye familia hutokea watu kutofautiana.

Membe ni lipapa kwenye siasa tunataka atulie afanye maamuzi sahihi sio kusukumwa-sukumwa na viluilui wa siasa wanaodandia wasiyoyajua na kujitia wanajua yooote.
 
Tumpe muda anajiandaa kunuka!!, Kwan hata hao waliomfukuza hawakuchukua maamzi hayo siku hiyohiyo. Walitafakari wakaamua juzi, nafikiri anasubiri wambambikizie hizo money laundering ndio aanze kunuka.suala la yeye kufukuzwa ccm alilijua mapema na alitaafuta mlango wakutokea ili awe huru kuisema.
Mkuu;
Maoni yako yamejichanganya sana kama atasoma mtu ambaye anajua kuchanganua!
 
Nasikia ACT wazalendo ni Membe, aliibuni yeye kudhoofisha chadema
 
Back
Top Bottom