Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Siku atakapotoa harufu ndipo atakapokutana uhujumu uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilikuwa ni kikao cha kumfukuza yeye sababu anataka kukalia siti ya daladala, wenzake wamepona sababu hawana mpango wa kugombea siti yeyeto wao hata kwa kusimama kushikilia bomba bora wafike tuKaonewaje? Kamati kuu na halimashauri kuu vyote vimuonee mtu! sijaielewa. Kama hivyo vikao vya juu vinaweza kumuonea mtu ni wapi mwanaccm atapata haki yake?
Ama kweli lumumba akili hamna,maongezi ya chumbani ni maongezi binafsi!Huko shule mlienda kusomea ujinga?
Waliofanya hivyo ni washamba pia!Vipi kuhusu chadema walivyomdukua komu na kubenea ,na ni washamba pia?
Mangula yu buheri wa afya. ICU maana yake ni sehemu yenye uangalizi maalum na anaweza kupelekwa mtu yeyote, ingawa wabongo wengi tunadhani ICU ni kwa wagonjwa waliokua mahututiMangula tayari yupo ICU Muhimbili usicheze na Kachelo Mbobezi dogo. Au ulitaka akinukisheje mkuu ili ujue kazi imeanza? maumivu ya Kichwa huanza taratibu, Wazee wa kule Mtama ni tofauti na wale wa Ruangwa.
Maendeleo hayana vyamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbu wameshasau mambo ya tume huru ya uchaguzi. Nyumbu sasa wako kwenye ajenda ya Membe kafukuzwa kwa sababu ya kuogopwa kuwa atagombea urais. Nyumbu wameshasahau kuwa hiyo hiyo tume wanayoilalamikia ndiyo wanasema Membe angegombea kupitia na awe tishio. Nyumbu mna kazi.Waliofanya hivyo ni washamba pia!
Kwa nini atake kiti nje ya utaratibu?Kilikuwa ni kikao cha kumfukuza yeye sababu anataka kukalia siti ya daladala, wenzake wamepona sababu hawana mpango wa kugombea siti yeyeto wao hata kwa kusimama kushikilia bomba bora wafike tu
Alikatwa Mkia KwanzaKabla ya kumfukuza Uanachama alikaushwa akawa kama Kaukau ili kuhakikisha hatonuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na hasira,mambo ya siasa lazima yajadiliwe!Kila mtu ana uhuru wa kujadili atakacho!Nyumbu wameshasau mambo ya tume huru ya uchaguzi. Nyumbu sasa wako kwenye ajenda ya Membe kafukuzwa kwa sababu ya kuogopwa kuwa atagombea urais. Nyumbu wameshasahau kuwa hiyo hiyo tume wanayoilalamikia ndiyo wanasema Membe angegombea kupitia na awe tishio. Nyumbu mna kazi.
Mkuu;
Huo muda ninausubiri kwa hamu ili atimize ahadi yake!
Mimi sifahamu!Hivi ni sehemu gani ya mwili wa binadamu ukiigusa inatoa harufu kali? Alimaanisha hivyo!
Nyumbu ni neno linalotumika kuonyesha watu wanaofuata mkumbo bila kupima mambo. Hivyo basi hata uhuru wa mtu kufuata atakacho bila tafakari ni unyumbu.Usiwe na hasira,mambo ya siasa lazima yajadiliwe!Kila mtu ana uhuru wa kujadili atakacho!
Upi utaratibu pia je ni kosa?Kwa nini atake kiti nje ya utaratibu?