SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango ya kum- Tundu Lissu imeshakamilika?Mnavuoverate sana huyu Jamaa...Hana chochote ni mswahili tu..katika watu weak ni huyu jamaa and he had hit a rock bottom....who'lll pull him up? I Can Bet 100% jamaa hana Plan B and even if he had...He Ain't got no Gut left...Believe Me..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;Hawezi kunuka tena. Kishakuwa cremated. Ulikuta wapi ashes zinanuka ?
Nimeamini what goes around comes around. Walimfanyia hila Lowassa wakakwamisha ndoto yake. Leo Membe nae badala ya kuhifadhiwa ili anuke kawa cremated kabisa
Mkuu;Ng'wamapalala,
CCM ni ya ajabu, KWanini msitengeneze ushindani? Hii haina tofauti na watoto wagombanao mdogo zaidi akilia, mkubwa anashikwa mikono na miguu huku wakimuita mdogo aje alipize kisasi kwa kumpiga mkubwa aliyekabwa mikono na miguu.
Hili jambo si jema, CCM ingekuwa imekomaa, wangekuwa wanachukua cream ili iongoze, sio mnachagua mtu then mnaweka na mbeleko kisa under perfomance.
Mkuu;Najifikiria sijui membe ataanzaje kunuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu;
Kama ndivyo,bila Shaka wanaokichagua ndio wapumbavu!Mkuu;
Kumbuka pia ndizo hizo siasa za ''kipumbavu'' zimekifanya chama kuendelea kushika dola tokea nchi ipate uhuru! Kumbuka lengo kuu la chama chochote makini cha siasa ni kushika dola!
Mkuu;
Kwani Mangula amepata misukosuko gani mkuu,kwani nimepita mtandaoni nikamwona bosi wake akimwambia mtegemee Mungu.Tumpe muda anajiandaa kunuka!!, Kwan hata hao waliomfukuza hawakuchukua maamzi hayo siku hiyohiyo. Walitafakari wakaamua juzi, nafikiri anasubiri wambambikizie hizo money laundering ndio aanze kunuka.suala la yeye kufukuzwa ccm alilijua mapema na alitaafuta mlango wakutokea ili awe huru kuisema.
Kwa wenye akili tushaelewa
In God we Trust
Ngoja ngoja huumiza matumbo!Subira yavuta heri.
Kwa sasa kila mtu hana muda wa kutoshaWenye akili tuelewesheni nasi tusio akili. Mambo ni mengi...
Huu mchezo hauhitaji hasira ile ya kumpa kadi nyekundu mpinzani wako kama uchwara afanyavyo. . Ruangwa kumbukumbh bado ipo.Jon Stephano,
Bora ajipige perfume akinuka tu uhujumu uchumi uko sambamba nae wazee wa ligi atawaki kusikia harufu.Labda tu atembee na moshi wa ruangwa
Ujue kuanalyse mambo,mpaka Lowassa kukatawa jina ni kazi iliyoanza miaka mingi,Umesahau Nappe team Membe na kina JK,Ulikuwa hujui kuwa Membe ndo alikuwa mbadala wa Lowassa?Ujue Magufuli kushinda ni hasira za wajumbe kumkomesha Jakaya/Membe baada ya Lowassa kukatwa.Mkuu;
Nadhani utakuwa unamuonea bure Membe kwenye suala la Lowassa kwa sababu hakuwa mjumbe wa Kamati Kuu ambayo ilikata jina la Lowassa!