Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Uchaguzi 2020 Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?

Nagombea Ubunge.

Mniache. Mimi ni kama Alikiba, chadema ni kama diamond na cuf ni kama Kondeboy.
Nadhani tumeelewana.

Na wale vigogo wa tano wameogopa kujitangaza wazi wazi sababu za usalama. Ila kura wameahidi watanipa 28 octobre.
 
Membe atulie hukohuko Kusin ahakikishe Magufuli huko anakuwa mshindi wa tatu kwenye kura za uraisi, na wabunge wengi watoke CDM&ACT yaan huko aifute ccm kabisa.
Angalau wewe umeona Membe anakusudia nini.
Kifupi ameshajua yeye hawezi kushinda uraisi ila anataka viti vingi vya ubunge na udiwani, pia labda atamdhoofisha Magufuli ashindwe kura ili wao na CDM waunde serikali ya pamoja kama watashinda CDM kwa msaada wa ACT kuipunguzia CCM kura za kusini.

Lakini kwa jinsi nilivyojifunza huku 'site' baada ya kukaa offline juma moja nikiusoma mchezo, amini nakuambia Magufuli anashinda uchaguzi kihalali na mapema mno japo suala la ajira linamtesa sana. Hili suala hakulichukulia kwa uzito wake.
Dunia hii vitu viwili huangusha tawala na dola kirahisi sana navyo ni mkate na ajira.
 
Angalau wewe umeona Membe anakusudia nini.
Kifupi ameshajua yeye hawezi kusinda uraisi ila anataka viti vingi vya ubunge na udiwani, pia labda atamdhoofisha Magufuli ashindwe kura ili wao na CDM waunde serikali ya pamoja kama watashinda CDM kwa msaada wa ACT kuipunguzia CCM kura za kusini.

Lakini kwa jinsi nilivyojifunza huku 'site' baada ya kukaa offline juma moja nikiusoma mchezo, amini nakuambia Magufuli anashinda uchaguzi kihalali na mapema mno japo suala la ajira linamtesa sana. Hili suala hakulichukulia kwa uzito wake.
Dunia hii vitu viwili huangusha tawala na dola kirahisi sana navyo ni mkate na ajira.
Magufuli hawezi kushinda kiuhalali, kwasababu kwanza tume imeshapika waliojiandikisha kupiga kura, haiwezekani Tz nusu yawatu wote wawe wamejiandikisha, halafu nusu eti ndio wawe chini ya miaka 18. Yaan haiwezekan 100% yawatu wote walioko juu ya miaka 18 wawe wamejiandikisha kupiga kura.Kwahio hapo washapika data.
 
Yaani Membe ni kama hadithi inayosema muuoneni huruma Tajiri aliyefilisika kuliko mgonjwa aliyepo hospital Mengine mtaendeleza wenyewe
 
Tatizo la ZZK ni kujiaminisha kwamba yeye ana akili na uwezo kuliko wote.

Hajui kwamba Watanzania wanajua ni msaliti
Aliyekuchomeka tantalia za Zitto ni msaliti leo kakamatwa huko Arusha.
Mangiiiiiiii
 
Mwingine huyu hapa
FB_IMG_1599477948750.jpg
 
ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.
Akili za kijinga kabisa hizi!!

Mkoa wa Pwani hakuna Waislamu?!

Tanga hakuna Waislamu?!

Tabora hakuna Waislamu?!

Au unataka kutuambia Magufuli kaanzia Bara kwa sababu na yeye anategemea Ukristo kuibeba CCM sio?!
 
Back
Top Bottom