stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Kama hujasoma mchezo wanaocheza CHADEMA na ACT basi imekula kwako!
imeshagundulika hakuna mchezo wowote apo! taarifa za ndan zilishaelezea kila kitu kinachoendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujasoma mchezo wanaocheza CHADEMA na ACT basi imekula kwako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka ulinganishe akili zangu na zako zinazoamini ropokaji?
Polepole afanyie kazi usaili,naona kuna tatizo kubwa hapo!Unataka ulinganishe akili zangu na zako zinazoamini ropokaji?
Hayo ya wasanii huwa mnayasema miaka yote kisha CCM inashinda mnatulia.Wasanii wanawaIvurugia CCM bila wao kujua maana watu wengi wanaenda kuangalia burudani za wasanii buree!
Angalau wewe umeona Membe anakusudia nini.Membe atulie hukohuko Kusin ahakikishe Magufuli huko anakuwa mshindi wa tatu kwenye kura za uraisi, na wabunge wengi watoke CDM&ACT yaan huko aifute ccm kabisa.
Magufuli hawezi kushinda kiuhalali, kwasababu kwanza tume imeshapika waliojiandikisha kupiga kura, haiwezekani Tz nusu yawatu wote wawe wamejiandikisha, halafu nusu eti ndio wawe chini ya miaka 18. Yaan haiwezekan 100% yawatu wote walioko juu ya miaka 18 wawe wamejiandikisha kupiga kura.Kwahio hapo washapika data.Angalau wewe umeona Membe anakusudia nini.
Kifupi ameshajua yeye hawezi kusinda uraisi ila anataka viti vingi vya ubunge na udiwani, pia labda atamdhoofisha Magufuli ashindwe kura ili wao na CDM waunde serikali ya pamoja kama watashinda CDM kwa msaada wa ACT kuipunguzia CCM kura za kusini.
Lakini kwa jinsi nilivyojifunza huku 'site' baada ya kukaa offline juma moja nikiusoma mchezo, amini nakuambia Magufuli anashinda uchaguzi kihalali na mapema mno japo suala la ajira linamtesa sana. Hili suala hakulichukulia kwa uzito wake.
Dunia hii vitu viwili huangusha tawala na dola kirahisi sana navyo ni mkate na ajira.
Wacheze mchezo gani hao wazembe tuKama hujasoma mchezo wanaocheza CHADEMA na ACT basi imekula kwako!
Hata mimi nilijuliza hilo swali ?Mbona kampeni hizi haziambatani na 'mamia' kurejesha kadi?
Aliyekuchomeka tantalia za Zitto ni msaliti leo kakamatwa huko Arusha.Tatizo la ZZK ni kujiaminisha kwamba yeye ana akili na uwezo kuliko wote.
Hajui kwamba Watanzania wanajua ni msaliti
Chadema ina vifuasi vichwa maji sanaKachaa mwingine huyu hapaView attachment 1561628
Membe atawashangaza ile ndiyo kampeni ya kisayansi. Membe atapata kura nyingi kuliko Lissu
Huyu jamaa niliwaambia hapa mapema tu. Hana nguvu nje ya ccm watu wakabisha. Haya sasa mnajionea wenyewe. Na bado tutakubaliana tu siku moja. Wakati utaongeaJe, bwana Membe pumzi zimeshakata au anadhani yupo kwenye kampeni ya ubunge wa jimbo?
ahahaaaaaaaChadema ina vifuasi vichwa maji sana
Kwahio Membe mkatoliki ndio anasambaza udini kwasehem zenye waislam wengi?. Tafuten agenda nyingineAngalia sehemu anazoenda..ACT wanatembelea gia ya Udini..
Akili za kijinga kabisa hizi!!ZZK anataka kura na ikiwezekana halmashauri ili apate ruzuku. Kapiga hesabu kwa Bara kaamua kuwekeza Kigoma mjini na Lindi/Mtwara akitegemea ukanda/ukabila na Uislamu kuibeba ACT.
Nonsense!Angalia sehemu anazoenda..ACT wanatembelea gia ya Udini..