G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 597 Reaction score 637 Apr 29, 2023 #241 FaizaFoxy said: Click to expand... Kweli hafai kusamehewa huyu fala,membe kanyagia hapo hapo hadi ajinyee
FaizaFoxy said: Click to expand... Kweli hafai kusamehewa huyu fala,membe kanyagia hapo hapo hadi ajinyee
MwanaWA Ebrania JF-Expert Member Joined Oct 6, 2017 Posts 939 Reaction score 1,147 Apr 29, 2023 #242 Kumsamehe mpumbavu mmoja ni matumizi mabaya ya Sheria... Hakuna namna nyingine, Mhe Mambe akaze tu Kama ili vyoandikwa kwa Bible.
Kumsamehe mpumbavu mmoja ni matumizi mabaya ya Sheria... Hakuna namna nyingine, Mhe Mambe akaze tu Kama ili vyoandikwa kwa Bible.
A annatee JF-Expert Member Joined Aug 15, 2021 Posts 803 Reaction score 1,841 Apr 29, 2023 #243 Membe anaonekana ni mtu poa sana ila ukiingia 18 zake utajua hujui.Ndio maana hata Mange Kimambi anamuogopaga huyu baba
Membe anaonekana ni mtu poa sana ila ukiingia 18 zake utajua hujui.Ndio maana hata Mange Kimambi anamuogopaga huyu baba
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Apr 29, 2023 #244 Kwani makonda kasema na yeye, aliyekuwa anasema ist gari ya mlinzi wangu.
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Apr 30, 2023 #245 raraa reree said: Ila kwa upande mwingine kimetumika kikokotoo gani kupata hicho kiasi cha b9 Watu wanachekelea tu suala hili la musiba ukiangalia japo mi si mwanasheria unaweza kuta hakuna kitakacholipwa hapo Click to expand... Kunyooshana tu tabia
raraa reree said: Ila kwa upande mwingine kimetumika kikokotoo gani kupata hicho kiasi cha b9 Watu wanachekelea tu suala hili la musiba ukiangalia japo mi si mwanasheria unaweza kuta hakuna kitakacholipwa hapo Click to expand... Kunyooshana tu tabia