Moja kwa moja..
Mimi toka nimerudi kwenye meditation nimechagua kuishi maisha ya amani , sitaki ugomvi hata mtu akinichokoza na kunitukana nampuuza na namjibu kwa staha .
Leo nashangaa kwenye Uzi wangu ghalfa bin vu ametokea member anayejulikana kama
Busu la Kenge na kunitishia maisha eti lazima nilipe ban yake wakati sijafanya kosa lolote kwani sina habari na mtu hapa jukwaani ..
Tokea nione hiyo text sina Amani hapa Jf sababu najua Ghayo family sio ya kuichezea kabisa ni WaMongolia bange kwao kama yai tu , sasa nifanyaje wakuu kutokana na hivi vitisho Mimi ni mnyonge sina Tag humu Jf..
View attachment 3688599