Member Busu la Kenge ananitishia lazima nilipe ban yake , nashindwa kuelewa nifanyaje wana Jf..

Angalia upo jukwaa gani ? jukwaa ni la jokes na kwenye jokes lazima ukutane na some sort of childish .

Unalalamika Childish kwenye jukwaa la Jokes utakuwa timamu kweli ? 😂
Povu jingi wakati mimi nimefanya ku summarize yote mnayofanya hapa kuwa ni CHILDISH. Thibitisha kuwa nimelalamika
 
Mimi ntakulinda dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…