Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio lazima niende msibani na si lazima nikate ticket.Ila wapo ambao wakipata taarifa na wakawa karibu na tukio wataenda. Hivi hii ni mara ya kwanza kwa member wa JF kufariki na member wengine kutaarifiwa kwa njia hii?Kumbukumbu zangu zinaniambia hapana. Kama mtoa taarifa atakuwa ametoa pia taarifa mbaya za marehemu hilo si sawa kwa kuwa Kiafrika marehemu hasemwi vibaya. Kakini kama taarifa ya tanzia tu mbona kila mara zinatolewa humuPengine inafaa, ila naona Ina ukakasi! What if angesema information zote real akaacha profile ya Jamiiforums?
Au angesema hivi, atoe profile zote lakini aseme Njoo PM kama utaitaji kufaham zaidi kuliko kuweka in public?
Vipi, wewe unaenda msibani? Ushakati tickets?