Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Apumzike kwa amani .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinachonishangaza ni namna hawa watu wanavyojuana huku wanatumia ID za gizani !Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape subira wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao 🙏🏽
Alikua ni rafiki yangu sana na hakutumia id fake bali aliongeza 555 tu mbele ya jina lake halisi na kuwa deo paul555kinachonishangaza ni namna hawa watu wanavyojuana huku wanatumia ID za gizani !
Kwani alikuwa mwanachadema?ULALE PEMA PEPONI KAMANDA
May his Soul Rest in Eternal Peace[emoji120][emoji24][emoji24][emoji24]Huyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020
Anaitwa Deogratius Paul (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.
Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.
Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea . Alifariki usiku wa saa saba na nusu usiku wa tar 8/22/2020
Amezikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.
R. I. P deo paul555
Baadhi ya michango ya wadau
TANZIA - Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia
Yaani taarifa ya msiba itolewe kwa Jina fake sasa itakua na maana gani?Watu waende kuzika ID fake? Hii imekaaje lakini kusema everything kuhusu mtu? Isingetosha tu kusema jina lake tu la mtandaoni na kumalizia hapo? Kama mtu alikuwa anaandika mavitu yake ambayo hakuwahi kupenda au kutaka watu...www.jamiiforums.com