Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitangulia yeye?Siku zinavyokwenda natamani nifahamiane na member ambaye nikifariki atasema huku
Rest In Peace! BTW hudhani umefanya kosa kumtambulisha jina lake halisi na picha wakati yeye hakutafanya hivyo? Au alikuwa amekuambia kuwa ufanye hivyo?Huyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020
Anaitwa Deogratius Paul Maige (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.
Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.
Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea .
Atazikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.
R. I. P deo paul555
Facebook alikua anatumia Deogratius Paulo Zachalia.
RIP mwana JF mwenzetu.Huyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020
Anaitwa Deogratius Paul Maige (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.
Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.
Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea .
Atazikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.
R. I. P deo paul555
Facebook alikua anatumia Deogratius Paulo Zachalia.
RIP
Warumi 9: Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Now days kutoboa 30 ni ngumu sana asee kwa vijana waliozaliwa 90s Mungu atusaidie.
Hivi utumbo kujikunja si sababu ya Ulcers?🙄🙄
Da poleni sana wana madibilaDah sikuwahi kumjua kumbe tunaishi vijiji jirani kabisa. Apumzike kwa amani asee.
Jamiiforums wana kesi ya kujibu.There must be a way ya kuficha identity ya mtu anapofariki, angeweza sema mtu anayetaka kujua zaidi aje PM or something, but huwezi mpaka weka picha yake kila kitu!
Umenipa wazo la kufahamiana nao sio kufahamiana naeAkitangulia yeye?