Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Pole kwa familia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani taarifa ya msiba itolewe kwa Jina fake sasa itakua na maana gani?Watu waende kuzika ID fake?
I agree 1,000%
Gross violation of privacy rights expected at an anonymous forum.
R.I.P
Misdiagnosed and tormented for decades. Shame on the hospitals and health policy makers.
Kama ni kweli basi pole kwa ndugu zake na Mungu ampokee kwenye mikono salamaHuyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020
Anaitwa Deogratius Paul Maige (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.
Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.
Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea .
Atazikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.
R. I. P deo paul555
Facebook alikua anatumia Deogratius Paulo Zachalia.View attachment 1645104
Mkuu, kufa sio faida.Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Poleni kwa ndugu jamaa na marafiki wote mlioguswa na msiba.
Sote tu wasafiri na kuishi kwetu ni Kristo,kufa ni faida.