Ameumaliza mwendo, anasubiri marejeo ya Kristo mara ya pili kwa ajili ya ufufuo aidha ufufuo wa kwanza au ule wa pili. Heri ni kwa wale watakaofufuliwa ufufuo wa kwanza
Baada ya kupitia nyuzi za huyu dogo nimejifunza alikuwa mstaaarabu sana sana kulingana na alivyojibu waliomuudhi.
Pia hilo tatizo la Viungo kufa ganzi aliliuliza kule Jukwaa la Afya na alipata majibu yenye heri.
Kikubwa huyu Dogo alikuwa Mtaaalam au Mdau wa Sekta ya Habari na Mawasiliano maaana asilimia 95 ya michango yake ni kuhusu Media tu na Michezo kidoooogo. Hakuwa na Blaaa blaaaaa za Kisiasa wala MMU.
So sad jamani kupoteza Member mwenzetu, Mlioko Mbalali mjikusanye mfike kutuwakilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.