TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Ee Mungu wetu mwenye nguvu na huruma, umefanya kifo kiwe mlango wa kupitia kwenye uzima wa milele.

Umtazame kwa huruma ndugu yetu, marehem Deo, mfanye awe pamoja na mwanao kwa mateso na kifo, ili akiwa amefunikwa na damu ya Yesu Krito, na aweze kuja mbele zako akiwa huru kutoka katika dhambi.

Naomba hayo kwa jila la mwanao Yesu Kristo..... Amen
 
R.I.P. Deo. Hii habari inanikumbusha hapo Ilembula hospital, ndugu zangu wengi wamepotezea maisha hapo kwa huduma za chini ya kiwango.
 
Hii imekaaje lakini kusema everything kuhusu mtu? Isingetosha tu kusema jina lake tu la mtandaoni na kumalizia hapo?

Kama mtu alikuwa anaandika mavitu yake ambayo hakuwahi kupenda au kutaka watu wamfahama kwa hayo, sisi tunapataje uhalali wa kuyafanya hayo?
 
Back
Top Bottom