Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Yaani taarifa ya msiba itolewe kwa Jina fake sasa itakua na maana gani?Watu waende kuzika ID fake?
Hii imekaaje lakini kusema everything kuhusu mtu? Isingetosha tu kusema jina lake tu la mtandaoni na kumalizia hapo?
Kama mtu alikuwa anaandika mavitu yake ambayo hakuwahi kupenda au kutaka watu wamfahama kwa hayo, sisi tunapataje uhalali wa kuyafanya hayo?Yaa