TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Upumzike salama Member mwenzetu. Mungu awape faraja ndugu na marafiki huko Madibira na kwengineko.
 
R.i.p kijana mwenzangu.

Hivi hizi info za watu mnazipataje akati tunatumia fake IDs?, Nawaza siku nami nikifa zitashushwa nondo zangu humu hatari.
 
Huyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020

Anaitwa Deogratius Paul Maige (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.

Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.

Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea .

Atazikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.

R. I. P deo paul555

Facebook alikua anatumia Deogratius Paulo Zachalia.

R.I.P Deo
 
Ulcers inasababishwa na nini mkuu?
RIP
Warumi 9: Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.

Now days kutoboa 30 ni ngumu sana asee kwa vijana waliozaliwa 90s Mungu atusaidie.

Hivi utumbo kujikunja si sababu ya Ulcers?[emoji849][emoji849]
 
Ametangulia sisi tupo nyuma yake!
Pole sana ndugu
 
Poleni sana Familia, Ndygu ,jamaa na Marafiki. Pole ya kupoteza. Deo apumzike kwa amani na raha ya Milele!
 
Siku zinavyokwenda natamani nifahamiane na member ambaye nikifariki atasema huku
 
Huyu ni moja ya memba tuliekua nae humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu ni 28/11/2020

Anaitwa Deogratius Paul Maige (30) mkazi wa Madibira Mbarali Mbeya, amefariki usiku wa kuamkia tar 08/12/2020 katika hospital ya Irembula kwa matatizo ya tumbo.

Kwa miaka mingi alikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi kitu kilichofanya ashinde home tu akichat kwenye mitandao ya kijamii. Baadae alipona miguu na ingawa hakuwa full recovered.

Tar 3/12/2020 alipelekwa sanitarium moja baada ya kuona mwili unakosa nguvu, huko aliambiwa anakisukari akapewa dawa lakini hali ikawa mbaya akakimbizwa Ilembula. Baada ya vipimo ikabainika utumbo umejifunga na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wakati wanaanza mchakato yakatokea ya kutokea .

Atazikwa Leo Tarehe 09/12/2020 katika makaburi ya kanisa Catholic Mahango - Madibira.

R. I. P deo paul555

Facebook alikua anatumia Deogratius Paulo Zachalia.

R.I.P good man of God!
 
Back
Top Bottom