TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Mimi sio lazima niende msibani na si lazima nikate ticket.Ila wapo ambao wakipata taarifa na wakawa karibu na tukio wataenda. Hivi hii ni mara ya kwanza kwa member wa JF kufariki na member wengine kutaarifiwa kwa njia hii?Kumbukumbu zangu zinaniambia hapana. Kama mtoa taarifa atakuwa ametoa pia taarifa mbaya za marehemu hilo si sawa kwa kuwa Kiafrika marehemu hasemwi vibaya. Kakini kama taarifa ya tanzia tu mbona kila mara zinatolewa humu
 
Roho ya marehemu ipate pumziko la milele apumzike kwa amani, Amina.
 
APUMZIKE KWA AMANI,WAPE POLE ZANGU NDUGU,JAMAA , MARAFIKI NA FAMILIA YAKE KWA UJUMLA.POLENI SANA PIA WANA JF KWA UJUMLA.
 
Heri wafu wafao katika Bwana....Pumzika kwa amani Deo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…