Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Huwa namu ona, ita kuwa hata Aki lipwa hela ana hisi ni mapepo😃Kuna huyu Donatila ni mlokole lia lia,yeye ana amini kila kitu ni mapepo tu,siku akipigwa ban hapa JF ataamini ni mapepo tu hayo,siku akihisi njaa ataamini ni mapepo,kila kitu yeye anaamini kua kinasababishwa na mapepo.