Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #141
Mwashamba typing 🤣😄😆, watanzania wana Lia😄Watu Wana utani sana
Wewe ndio wa kukulinganisha na Mwashambwa kweli anayeweka namba ya simu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwashamba typing 🤣😄😆, watanzania wana Lia😄Watu Wana utani sana
Wewe ndio wa kukulinganisha na Mwashambwa kweli anayeweka namba ya simu🤣
Ko hapo tuna semaje🤣😆😄Mimi nimeanzia siasa nikiwa London , tulikutana na Freeman tukiwa kama Diaspora , kwahiyo hatufanyi siasa za njaa , tunafanya siasa za kujitolea ili kusaidia hawa masikini wa Tanzania wanaokamuliwa hadi damu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana dna ya uchawa 🤣😆😄Harafu Erythrocyte atakwambia yeye sio chawa wakati ni chawa mwandamizi 😁😁
WCB for life!Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni.
👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023.
1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake.
👉yaani hata wakosee vipi huwezi msikia Aki kiri hilo, yeye ni kusifia tu. Nasikia ana tafuta teuzi.
2, dada FaizaFoxy, mama yetu huyu uchawa wake upo kwenye dini yake, yaani uki pingana nae kidogo lazima aku raruwe.
👉Sijui ni mapenzi au ndo Stimu za uzeeni.
3, Erythrocyte, aisee huyu nadhani ndo mpinzani wa mwashamba, yeye hajawai kuona jema la chama Cha upinzani, siku chama chake Kiki shinda tuta sema.
4, sinza pazuri na , aisee sijui ni jomba au manzi ila huyu kazidisha aisee, nahisi hata Aki lala ana iota wcb yenyewe.
👉Hataki kusikia kuwa Kuna wasanii wazuri kuzidi pale kwao.
Haya ni member gani aliye zidi uchawa kwa Mwaka huu 2023??.
👉 I mean no malice to nobody.
We Jamaa mbona konde kawa funika kwa namba Mwaka huu😄😆🤣WCB for life!
Pilipili usiyo ila inakuwasha nini???