Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

Hao wote Tisa....kumi Kijana wangu SAYVILLE huyu bwana mdogo anaisifia Simba kuliko uwezo ilionao, anatamani hata Timu zote zijitoe kwenye CAFCL ibaki Simba pekee na ipewe ubingwa.
Hahahah we jamaa umenifurahisha.

Mimi naleta mezani hoja kuntu zinazoambatana na data za uhakika, tatizo mnashindwa kuzipinga. Kabla sijasogea viunga vya JF nakuwa nimejipanga....ndiyo maana wahenga walisema "Hesabu ni lugha ya Mungu"
 
Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni.

👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023.
1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake.
👉yaani hata wakosee vipi huwezi msikia Aki kiri hilo, yeye ni kusifia tu. Nasikia ana tafuta teuzi.

2, dada FaizaFoxy, mama yetu huyu uchawa wake upo kwenye dini yake, yaani uki pingana nae kidogo lazima aku raruwe.
👉Sijui ni mapenzi au ndo Stimu za uzeeni.

3, Erythrocyte, aisee huyu nadhani ndo mpinzani wa mwashamba, yeye hajawai kuona jema la chama Cha upinzani, siku chama chake Kiki shinda tuta sema.

4, sinza pazuri na , aisee sijui ni jomba au manzi ila huyu kazidisha aisee, nahisi hata Aki lala ana iota wcb yenyewe.
👉Hataki kusikia kuwa Kuna wasanii wazuri kuzidi pale kwao.

Haya ni member gani aliye zidi uchawa kwa Mwaka huu 2023??.
👉 I mean no malice to nobody


Huyo bamba moja unasifia sana lakini unaweza kukuta halipendi chama anatafuta teuzi tu. Ukiona mtu anafanya hivyo huyo ana agenda ya siri na siyo kusaidia chama. Wapenda chama hawapo hiyo, ni watu wanaosifia na kukosoa.
 
Back
Top Bottom