Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

Kama alianza kuulizia vifua vya wanaume wenzake ni dhahiri shahiri one man down over
 
Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani.

Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi


Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu ameweka mabandiko mengi sana kuelezea nafasi ya waalimu kwenye jamii na hakika alielemea upande hasi zaidi kwa mujibu wa waalimu wa humu. Malalamiko yalikuwa mengi sana sana. Wapo walioomba afungiwe na wengine waliendelwlea kulaani kila andiko alilolenga kuwakosoa vikali waalimu.

Wiki za hivi karibuni ameanza kuonesha mwelekeo legevu kabisa.... lakini naona kwamba tujue kama ndugu yetu ni jinsia Ke ikiyojificha kwenye posts zinazoashiria ni mwanaume, au ni zile laana za waalimu zimeanza kumshughulikia kabla ya mhula?
Huyo atakuwa s/he
 
1694252001384.jpg
 
Back
Top Bottom