Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

Kwanini GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" anatumika mno kama Lifti ya kufanya Thteads za Watu wengi hapa JamiiForums zichangamkiwe na Members na Wao angalau waweze kuwa Maarufu kama Yeye?

Asante Mwenyezi Mungu kwa Zawadi.
Unatrend mkuu
 
Basi,kama wewe Binafsi uko sawa hakuna tatizo
Madam Joan hii ndomana halisi ya mitandao ya kijamii,, jamii ni watu wenye kila aina ya tabia. Unaweza kutoa wazo huru tu ila likaja chizi fresh from somewhere kukutukana na kuondoka

Mpaka utahamaki ukimgeuzia za uso unalambwa ban nzito na moderator, so kuepusha haya yote unalike comment yake unam.ingnore
 
Una akili mdogo wangu
 
Back
Top Bottom