Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani.

Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi

Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu ameweka mabandiko mengi sana kuelezea nafasi ya waalimu kwenye jamii na hakika alielemea upande hasi zaidi kwa mujibu wa waalimu wa humu. Malalamiko yalikuwa mengi sana sana. Wapo walioomba afungiwe na wengine waliendelwlea kulaani kila andiko alilolenga kuwakosoa vikali waalimu.

Wiki za hivi karibuni ameanza kuonesha mwelekeo legevu kabisa.... lakini naona kwamba tujue kama ndugu yetu ni jinsia Ke ikiyojificha kwenye posts zinazoashiria ni mwanaume, au ni zile laana za waalimu zimeanza kumshughulikia kabla ya mhula?
jamaa ni me lakini tunamjua ni mzee wa kutafuta attention kama hamjui mwamba anatembea na upepo ili apate engangement kubwa
 
Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani.

Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi

Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu ameweka mabandiko mengi sana kuelezea nafasi ya waalimu kwenye jamii na hakika alielemea upande hasi zaidi kwa mujibu wa waalimu wa humu. Malalamiko yalikuwa mengi sana sana. Wapo walioomba afungiwe na wengine waliendelwlea kulaani kila andiko alilolenga kuwakosoa vikali waalimu.

Wiki za hivi karibuni ameanza kuonesha mwelekeo legevu kabisa.... lakini naona kwamba tujue kama ndugu yetu ni jinsia Ke ikiyojificha kwenye posts zinazoashiria ni mwanaume, au ni zile laana za waalimu zimeanza kumshughulikia kabla ya mhula?

Anaweza kuwa wali ulioongezwa maji bila ration.
 
Acha kumuingiza GENTAMYCINE kwenye Mambo ya ajabu ajabu bhana

Jinsi ya mtu inatuhusu nini ?
Yaani dume zima unawaza kuhusu jinsia woi
 
Mkuu wangu nisamehe bure.

Lakini kuuliza si ujinga maana salutation na reality vinatofautiana nisije nikapishana na pisi kali buree
 
...Kwan mmesahau nini... Mtu hadi kufikia hatua ya kutumia fake ID... Ujue hayupo tayar kujulikana...
 
Nilikuelewa mkuu japo ile uliyoweka ilikuwa ni alama ya kuuliza

Wapo wanaozaliwa na hizo jinsia ..nitafaidika na jibu kuwa wanaitwaje
Shemale tumesema,
na kuna hemmaphrodite
Tofauti hemmaphrodite ndio wana jinsia 2 kiasili wamezaliwa nazo kwahiyo pale kuna matundu mawili na boloyang moja.
Shemale kajibadilisha kujipamba tu,
ni mwanaume ana boloyang 1 na mnduku mmoja ukiona ziwa kuna mawili either ya china,au uturuki plant.
Au Sillicon
 
Hakuna cha laana wala nini tangu mwanzo niliwambia jamaa anahitaji msaada wa karibu inawezekana ugumu wa maisha unasababisha awe vile,hata ukiangalia maandiko ya walimu yalikuwa yamejaa chuki,jamaa anahitaji msaada wa kisaikolojia

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom