winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
We Aunt unamkubali nani humu?Wasubiri wanakuja
Nafurahi kusikia hivo aunt ake...π€π€π€ΈKama mie ninavokukubalii ankoo akee!!
Nakukubali sana tena sana kijana wangu...nakukubali sana fazaπ
mimi nakukubaliMum je ππ
Kaka ake na ibilisi..na mimi umenikataa subiri ukifika motoni nimueleze mdogo wangu shetani
ππππngoja nikimaliza kuunganisha dots zanguUnaweza kuninong'oneza hako ka ID kengine siku nikitaka ugomvi nimcheki?....au basi
ππππsina nnaemkubali mimiWe Aunt unamkubali nani humu?
Niko kushoto kwako hapa πππHongera kwenu mnaokubalika, wenzangu na Mimi ambao hatukubaliki na mwamba karibuni hapa KB Bar Tegeta Nyuki tule vyombo
Kwhy WanaJF pamoja na michango yetu kedekede, nyuzi zinazoondoa stress. Bado tuu hautukubali.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sina nnaemkubali mimi
ππππkukubaliwa ni niniKwhy WanaJF pamoja na michango yetu kedekede, nyuzi zinazoondoa stress. Bado tuu hautukubali.
WapiHabari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet
Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..
ππππngoja nikimaliza kuunganisha dots zangu
Ni kama appreciation.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kukubaliwa ni nini
SawaNi kama appreciation.