Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Toa sababu 12 zakuwakubali kwako😂Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet
Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..