Member ninaowakubali sana...

Member ninaowakubali sana...

Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..

1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet

Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..
Hata wengine hujui id zao vizuri

Mimi kama mjumbe wa ambao hawajatajwa
 
Nimemmis mchepuko wa babu yangu mpendwa Asprin ... Sakayo ,sijui kwanini kaacha kuchangia humu

Eti dia babu Asprin umemfanya nini biibii yangu mdogo Sakayo hadi kaamua kuwa mpenzi mtazamaji tu?manake inavyoonekana huwa anaingia humu lakini hajasema neno since 2020
Bibi yako amejifungua mapacha. Nimempiga stop kuchangia hapa mpaka watoto waote meno... Hapa wanga wengi...

Wewe pia ulipotelea wapi? Sikumbuki kama nilipokea mahari yako
 
Bibi yako amejifungua mapacha. Nimempiga stop kuchangia hapa mpaka watoto waote meno... Hapa wanga wengi...

Wewe pia ulipotelea wapi? Sikumbuki kama nilipokea mahari yako
Watoto wanaota meno wakiwa na miaka mingapi kwani manake huu mwaka wa tatu biibii yangu hajachangia chochote

Mie nipo hapa kila siku 😅
 
Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..

1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi shangali
4.Great of all time
5.umughaka
6.smart 9
7.depan
8.simba buyenze
9.extrovet
10.sakayo.
11.kichwa kichafu
12. 12.davet

Hao ndo members wangu ninao waelewa sana.
Nakaribisha mapovu kwenu nyie nisio wataja..
💯🤝
 
Back
Top Bottom