Member ninaowakubali sana...

I love u Cute Wife😍
 
Ninaowakubali na sababu zake;

The Boss ana uchangiaji wake mmoja ambao una maturity fulani hivi.

DeepPond simulizi zake na majay hazichoshi kusoma.

Toxic Concotion kuna comment zake kadhaa nimekutana nazo zinabeba busara nyingi ila zaidi nilivutiwa na comment yake kupokonywa kazi na muhindi kisha kuipata tena.

Bill Lugano bilionea asie na baya na mtuπŸ˜‚.

Mshana Jr sifa zake zinajulikana humu jukwaani.

To yeye she seem like a very friendly and open person.

Kuna wengine wanaboa mno ila kuwataja ni kutafuta shari.
 
Nifanye nini niweze kuwa na ushawishi, nianze kutajwa kwenye nyuzi kama hizi, pm ijae msg za watoto warembo, nifanyaje?
 
Shukran chiefπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…