FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Wao walipataje membershipBora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
Wao walipataje membershipBora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
Basi nilivyoona comment yako kwa veggies nikajua hata una exposure lol 😂hiyo dar yatch club ndio nini?
Vijana gani hawapendi starehe?Vijana wa bongo wanapenda sana starehe kuliko kazi
Wa mbogya mbogyaVijana gani hawapendi starehe?
Wote machoko tuu wale😏😏Wa mbogya mbogya
Shukrani sana,Mkuu kwema, karibu sana tulipotezana kidogo
Ni kama ilivyo freemasonry lazima uwe recommended na member ambaye tayari yuko kwenye freemasonryYatch Club, nikasema nijaribu Ile short term membership, kufika unaambiwa application sio ivyo, lazima member mmoja akuinvite ndio unapata, mi ukoo mzima hatuna ata member mmoja.
Embu tutolee utoto wako hapa.Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.