LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Kila lakheri ila kimsingi vitu vingine hata ukivikosa wala hupungukiwi kitu
Hamna mdogo mdogo tunajifunza tabia za kitajiri, tunaagiza menu huku tayari tushavuta salary advance.....yani tunakula huku tuna uhakikaTutakua tunakimbiana ikija muda wa bili kusema kweli maana njaa njaa
Asa si tutaanza kutana once kwa mwezi. Club flani iwe weekend tunakutana, tunapeana michongo, fresh.Hamna mdogo mdogo tunajifunza tabia za kitajiri, tunaagiza menu huku tayari tushavuta salary advance.....yani tunakula huku tuna uhakika
Starehe gharama.Vijana wa bongo wanapenda sana starehe kuliko kazi
Dr Matola PhD hivi hizi clubs zina nini cha ziada apart from michezo na starehe nyingine hadi watu kama huyu jamaa analilia kupata membership????.
- Packages: Contact [email protected] for details
Kuna maconnection kama yote, kuna siku nilipata hata kufahamu wale maafisa ubalozi consulars wapo humo unashangaa upo ubalozini kuomba viza kuna mtu interview hamalizi hata dakika moja viza granted, interview ilishafanyika last night humo kwenye maclub yao, nina ushahidi na hili US Embassy na UK high commision.Dr Matola PhD hivi hizi clubs zina nini cha ziada apart from michezo na starehe nyingine hadi watu kama huyu jamaa analilia kupata membership????.
Aya komredi naona unanitoa kwenye reli ipo siku na mm nitadondokea kwenye chem chem jangwaniInshu sio nyepesi kama unavofkili wew utadata na kutoa siri hovyo.
Uwe unaenda Mikocheni unaingilia Pale kati ya Jengo la Baraka Hospital na Dar Independent School kama una gari unapaki mwanzo mwa Beach. Kuanzia pale mpaka unaenda ukanda wa Nyumbani kwa Mwl Nyerere,Mapenzi Beach kumetulia sana watu hawana timeKwa wenzetu fishing pier za kumwaga,na hazina masharti,winter time mida ya usiku watu kibao wanapiga kalamari,fishing ni hobby ila africa bado serikali zetu azijatia kipaumbele,mimi muda mwingine naenda beach za kigamboni ndio hazinaga mambo mengi,nishajaribu kuvua coco beach,nikatolewa nduki pia,tena ilikua weekday aisee!
Poa mkuuUwe unaenda Mikocheni unaingilia Pale kati ya Jengo la Baraka Hospital na Dar Independent School kama una gari unapaki mwanzo mwa Beach. Kuanzia pale mpaka unaenda ukanda wa Nyumbani kwa Mwl Nyerere,Mapenzi Beach kumetulia sana watu hawana time
Miaka ya nyuma kuna wahindi walikuwa wanaenda weekend pale DMI na watoto wao kuvua. Lakini ilikuwa mswahili akivua anafukuzwa enzi wanalinda TPA Auxiliary PolicePoa mkuu
😀😀😀Wanajikuta akina DJ Khaleed wa bongo watu wa Yatch Club.. 😊
Hawa wengine wa Gymkhana uwakute na vipensi vyao, tennis court au golf court, wanajikuta akina Roger Federer, Tiger Woods wa bongo hii... 😊
Afrika mizinguo sana,yan mwenye nchi ananyanyasika ndani ya nchi yake!Miaka ya nyuma kuna wahindi walikuwa wanaenda weekend pale DMI na watoto wao kuvua. Lakini ilikuwa mswahili akivua anafukuzwa enzi wanalinda TPA Auxiliary Police
hahahahaha nawaza umri wako kwa sasa na mchakato wake mzima na pia ni bahati.Aya komredi naona unanitoa kwenye reli ipo siku na mm nitadondokea kwenye chem chem jangwani
Punguza ushauri kwenye pesa za watu.Vijana wa bongo wanapenda sana starehe kuliko kazi
Mkuu kwema, karibu sana tulipotezana kidogoNitakuwa mmoja wao.