Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Yaani Bora wawe wachache, kule Kuna connection, maboss sana wale man.
Mimi nakubaliana nao kabisa. Ukiendekeza kima utavua mabua. Ngozi nyeusi ina kero nyingi sana no matter awe na elimu au fedha. Labda awe amezaliwa nchi zilizoendelea. BTW badala ya kulalamika kila kitu kwa nini tusiunde na sisi vya kwetu (kama tunadhani ni rahisi).
 
ukiona hivyo
ujue sio pesa tu ndo kigezo
Huko Instagram Masuperstar wetu ushunzi huwa wanatamba na vikadi vya vipati vyao uchwara invited, sasa na hizo club inabidi uwe i invited na wandewa wa hapo.

Kuna ambao wana uwezo wa kuingia kwa Title zao kama mabalozi, CEO's Ritered leaders like Kikwete, Majaliwa and likes.

Lakini siyo kisa umenunuwa Subaru ukadhani hizo ni level zako never.
 
Asante ila club kubwa ilitakiwa iweke wazi tu packages zao kwenye website.
Haiko hivyo, miaka ile ya 90's tulikuwa tunatafuta nyumba za kupanga Cape Town, Internet ilikuwepo watumiaji computer maofisini hapakuwa na smartphone basi mambo mengi tulitegemea magazeti.

Sasa unanunuwa gazeti sehemu za matangazo unakuta nyumba kibao zinapangishwa maeneo mazuri tofauti basi ukipiga simu ya Agency lafudhi ambayo si ya mzungu inajurikana unaambiwa nyumba imeshachykuliwa tayari, tulipata tabu sana mpaka kujiongeza kumuomba Boss wetu Brendan ndio akapiga simu kwa wazungu wenzake anahitaji nyumba kwa ajili ya wafanyakazi wake ndio tunapata nyumba kwenye makazi ya wazungu Ronderbosch.

Kwahiyo huu mfumo upo Worldwide.
 
Sasa miaka hii ya elfu 2 mambo hayatakiwi kuwa sawa na miaka hiyo.
 
Sasa miaka hii ya elfu 2 mambo hayatakiwi kuwa sawa na miaka hiyo.
Kwani wewe kwa akili yako Getway ya Freemason and other society secret ni wapi? Ni yale matangazo kwenye mistimu kujiunga Freemason?

Hizo club ni branch ya mtandao mkubwa hapa dunia ndio maana hata chama cha wachawi ni lazima uwe connected na mwanachama wao ndio akuunge.

Angalia club Rotary club na Lions Club ni branches of Freemason.

Pale Kinondoni Leaders Club ndio yao kimsingi majaji, mahakimu na viongozi wanatakiwa pombe zao wanywe pale ila pameshageuzwa matumizi.
 
Kila kitu ni network......Tatizo ni network tu,mijini humu bila network ya maana maisha Lazima yawe magumu au ya kizalendo, ukishaona kwenye circle yako ww ndo Una afadhali halafu in reality Una Hali mbaya basi kimbia mbio nyingi tengeneza mtandao mzuri kwaajili ya kizazi chako...
 
Pale hakuna gharama sana. Nadhani utachajiwa kukodi boti au vifaa vya kuvulia samaki
Sihitaji boat,fishing rods ninazo,naulizia kuvua tu kawaida,kuna sehemu karibu na daraja la tanzanite nawaonaga wahindi wanavua,kuna siku nikasema nikajichanganye,nilikuja kutolewa mkuku mkuku 👮
PXL_20260919_094701842.jpg
 
Sihitaji boat,fishing rods ninazo,naulizia kuvua tu kawaida,kuna sehemu karibu na daraja la tanzanite nawaonaga wahindi wanavua,kuna siku nikasema nikajichanganye,nilikuja kutolewa mkuku mkuku 👮View attachment 3673859
Slip way hakuna mambo mengi ukiuliza watakupa utaratibu. Nadhani kuna upande wanaruhusu kule sehemu ya kupandia boti za Mbudya. Huku kwenye parking za boat na workshop(slip way) hakuna wa kusumbua kikubwa usalimie wenyeji.

Jioni pia unaweza kukaa mitaa ya Pale Mapenzi Beach(Beach Mavi), Mikocheni Warioba nyuma ya nyumba ya Mzee Bomani mpaka mitaa ya Escape 1 ukavua wakati wa maji mengi. Unakaa juu ya zile concrete za city storm drain.
 
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom