Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
Kuna ile Yatch Club jirani na Ikulu pale Dar.
USidhani ni Yatch club. Mambo ya mbinumbinu pale. Usisogee wala kuomba kujiunga. Huwajui members hata mmoja. Jifunze kung'amua CODE...
 
gymkhana ukipanga vzr unapata membership,club zingine ni ngumu
Cha kwanza unataka uanachama ili iweje? Level zako ni uanachama wa club za jogging na Gym za mitaani jiunge huko.

Uliona wapi mtu mwenye njaa anacheza Golf?

Miaka ya barehe nilikuwa napiga sound na mtoto wa Kishua ratiba yake free ni jumapili tunakutane kwenye golf Masaki, nilijipunguza mwenyewe na wakati huo hamna bodaboda, bajaj ni usafiri wa Walemavu zinauzwa million 4 tu.
 
hahahahaha,umenikumbusha niko primary nilikua napenda kucheza tennis, sasa bana vifaa na kwenda kucheza ama viwanja vya posta au gymkhana ,mwisho wa siku mchezo ulinishinda, nikarudi kwenye soka uwanja popote
 
Mpaka wakukubali kazi yake siyo ndogo...
Sijui uwe na nyumba yako mwenyewe siyo ya kupanga, usafiri, kazi/Biashara yenye kipato kisichopungua million5 kwa mwezi, michango ya kuchangia club zao ni pesa ndefu ndefu...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom