Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Status Anxiety.
1789785451620.png
 
It's not that much hard, Term & Conditions ni clear mbona Sheikh? Tafuta tu active member akualike

Wanafanya hivyo kulinda hadhi na usafi wa viwanja
Kuna Wazanzibari wana uanachama kupitia viongozi wao muda mrefu ila hataa mmoja hajawahi fika hapo
 
Hii habari imenikumbusha show moja ya HBO inaitwa "The Gilded Age".

Inaelezea jamii ya mabepari wa New York City wa miaka 1880s ilivyopata changamoto, wale wazee wa mji kina Lady Astor walijikita na mizizi mirefu kuwa wao ndio wenye mji, sasa wakawa wanatokea watu wengine wanakuja mjini wanapata hela kubwa zaidi yao.

Sasa wanaopata hela, wanaona hela tu haitoshi, mtu akipata hela anataka heshima. Na heshima inakuja vipi, inakuja kwa kukubalika kwenye jamii, kwenye taasisi kama hizi za members only.

Sasa wale mabepari wapya kila wakiomba uanachama, wanazungushwa tu, wanasubirishwa sana, mpaka wakaamua kuanzisha na wao Ooera Society yao The Met, kukawa na vita kubwa sana kati ya watu wa "old money" na "new money".

Wale wa old money walikuwa hawataki kuwakubali kirahisi hawa watu wa new money, kwa sababu walikuwa wanawaona hawa ni washamba tu, ndiyo kwanza wamepata pesa, hata hawajajua mambo ya high society vizuri, hawana pesa za kurithi vizazi na vizazi zinazokuwa na utamaduni mkubwa.

Wale wa new money nao wakawa wanawaona hawa watu wa old money wamepitwa na wakati, wanaweka unaa usio na maana. Wanajiona wao ndio zaidi wakati hata sisi tumepata oesa, tena kwa kitafuta wenyewe si za urithi, tena tumeoata zaidi yao.

Ikaja kuwa bonge la showdown kati ya new money na old money.

Nisiharibu sana utamu, na kufanya spoiler, ukipenda muendelezo, tafuta show inaitwa "The Gilded Age" uangalie mwenyewe.

Hicho kilichotokea New York City kwenye miaka hiyo ya 1880s, vita ya new money na old money, ndiyo "Status Anxiety" hiyo hiyo inayoendelea sasa.

Sisi tulienda Gymkhana tukiwa wadogo sana wakati tunakaa Sea View, lakini baadaye mshua akaacha. Kwa miaka mingi nilikuwa sijaelewa sababu, lakini nikaja kugundua wadosi walikuwa wanamfuata sana kumpigisha ma deal nje ya ofisi kwa njia ambayo yeye kama mtu wa kukaa katika mstari hakufurahia, akawa haendi kuepuka hayo ma deal. This is back in the early eighties.

Kwa hiyo kuna watu wanataguta uanachama Gymkhana hawauoati, wenhine tulitafutwa na uanachama hatukuoatikana.
 
It's not that much hard, Term & Conditions ni clear mbona Sheikh? Tafuta tu active member akualike

Wanafanya hivyo kulinda hadhi na usafi wa viwanja
Kuna Wazanzibari wana uanachama kupitia viongozi wao muda mrefu ila hataa mmoja hajawahi fika hapo
Kuna member pia ni wazee watu wazima wanaweza kaa hata miaka 2 hawajagusa hapo. Na hawana muda kabisa hao ndio rahisi kukusaidia.
 
Hizi club Zina Mambo yake na tamaduni zake , Kuna baadhi ya club ni conservative kweli kweli, huingii bila invitation
Huko kote mzee wangu ni member tena tokea miaka ya 60s
Hiyo dar legion club tu member hupewi ovyo ovyo
Ndomana hata siku moja hujawahi ona sjui msanii
Au watu maarufu wenu kanjanja wamo mule
(Ila mm binafsi ni member wa dar legion club)na nlingizwa kupitia mgongo wa mzee,ile ni gentleman club only

Ova
 
Back
Top Bottom