Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kwenye inshu za golf zile v.i.p, wanaenda Kwa kazi maalumu mkuu, jamaa yangu ni accountants wa benki Moja mjini, alipelekwa na meneja wake pale ye mwenyewe akawa anashangaa naenda kufanya Nini ilihali mi sio mpenzi wa kucheza golf, jamaa badae alikuja kutambua kua dhumuni la kupelekwa pale lilikua kuwavuta wateja wale matajiri wakubwa town waje kwenye benki Yao na si kingine