Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Hahahahahahaha lol! Ningekuja kama nakuuliza kitu hivi ila kumbe ni kujua ID yako. Siku moja nilikuwa niko Airport nikamuona mrembo mmoja na lap top yake yumo humu juhudi zangu za kutaka kujua ID yake hazikufua dafu.

Popote ila napunguza mwanga wa simu, jirani ukichungulia lazima shingo iteguke
 
Mkuu unaishi chini ya jiwe!? Fungua macho na masikio ili ufahamu yanayojiri. Hizo maiti zinazookotwa ufukweni hujasikia? Mwandishi wa Mwananchi zaidi ya wiki tatu leo kapotea Serikali kimyaaaa!!
Haya
 
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Naogopa kupata ajali banaa. Halafu mie pamoja na kuwa naweza kusema ni dreva mzuri ila kuobserve speed limit kumenishinda kabisa cha ajabu sijawahi kukamatwa kwa kukiuka speed limit.

Umesahau watu wanaotumia Jf kila mtu ako na gari yake!!!!

Mie natumiaga nikiwa ndani tuuu
 
Me natumia hata nikiwa natembea uchochoroni...
Lakini nimeiwekea security code hii app!
 
Nnavyojishtukiaga sasa ningewahi ziba kioo cha simu. Au kuna kipind nikiwa hadharan na log out kisha naanza pitia threads kama guest tena hapo nakuwa free

Laptop hadharan kuwa mubashara JF mateso mno kuilinda ID.
Hahahahahahaha lol! Ningekuja kama nakuuliza kitu hivi ila kumbe ni kujua ID yako. Siku moja nilikuwa niko Airport nikamuona mrembo mmoja na lap top yake yumo humu juhudi zangu za kutaka kujua ID yake hazikufua dafu.
 
Hahahahaha lol! Naogopa kupata ajali banaa. Halafu mie pamoja na kuwa naweza kusema ni dreva mzuri ila kuobserve speed limit kumenishinda kabisa cha ajabu sijawahi kukamatwa kwa kukiuka speed limit.
Naona unajishtaki kwangu!!!! Umeichoka amani eeeh
 
Mi saa hii nipo chooniiiii!!! Nkimaliza natoka
 
ndo maana ni jukwa la the great thinkers
 
Hahahahaha lol! Eti najishtaki kwako! Lini umeanza kuwa traffick police? Eti nimeichoka amani! Shauri yako ila Mungu anakuona ujue. Naona 6th sense yako iko very active. Hongera sana.
Haha
Yaani mie kukupotezea siku zote na speed zako unaniona namna gani veepe!!!!

We haya tuu hiyo sense ni aje tenaaaa???!!! Mungu anakuona ujue, sio kwa uchochezi huo
 
Mimi huwa naitumia popote ila naficha ID mtu asiijue kwa namna yeyote.

Kuna siku nipo kwenye daladala naperuzi, kumbe nyuma kuna mtu ananikodolea macho. Sasa kila nikirefresh nipate new posts, nageuzia simu chini kwa sababu natumia browser kwa hiyo kila nikirefresh jina linaonekana kwa juu.

Sasa Jamaa kakazana kuangalia ajue ID. Nilipogeuka, namuona anakodolea macho simu yangu.

Nikacheka, naye akacheka. Nikajua, huyu lazima atakuwa mwanaJF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…