Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popote ila napunguza mwanga wa simu, jirani ukichungulia lazima shingo iteguke
HayaMkuu unaishi chini ya jiwe!? Fungua macho na masikio ili ufahamu yanayojiri. Hizo maiti zinazookotwa ufukweni hujasikia? Mwandishi wa Mwananchi zaidi ya wiki tatu leo kapotea Serikali kimyaaaa!!
Umesahau watu wanaotumia Jf kila mtu ako na gari yake!!!!
Mie natumiaga nikiwa ndani tuuu
Hahahahahahaha lol! Ningekuja kama nakuuliza kitu hivi ila kumbe ni kujua ID yako. Siku moja nilikuwa niko Airport nikamuona mrembo mmoja na lap top yake yumo humu juhudi zangu za kutaka kujua ID yake hazikufua dafu.
Naona unajishtaki kwangu!!!! Umeichoka amani eeehHahahahaha lol! Naogopa kupata ajali banaa. Halafu mie pamoja na kuwa naweza kusema ni dreva mzuri ila kuobserve speed limit kumenishinda kabisa cha ajabu sijawahi kukamatwa kwa kukiuka speed limit.
Naona unajishtaki kwangu!!!! Umeichoka amani eeeh
Nipo nyuma yako.Mi niko karume kwenye daladala na foleni yangu naperuzi jf.
Kwa tunaotumia JF app mbona tunatumia popote tu, hata kwenye daladala!Mi popote natumia lakin hua najitahidi mtu asione machoandika,mara nyingi napenda nikiwa nimekaa nimetulia
ndo maana ni jukwa la the great thinkersHabari zenu wadau wa JF.?
Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata member mmoja akitumia JF hadharani.
Mfano ukiwa kwenye Daladala watu kutumia mitandao kama vile Facebook, Instagram, Twitter, WhatsApp n.k ni jambo la kawaida ila sasa shughuli inakuja kwenye mtandao wa JF. Yaani sijawahi ona wala kukuta mtu anatumia JF hadharani.
Tatizo ni nn wakuu mnaogopa ama ni nn.???
HahaHahahahaha lol! Eti najishtaki kwako! Lini umeanza kuwa traffick police? Eti nimeichoka amani! Shauri yako ila Mungu anakuona ujue. Naona 6th sense yako iko very active. Hongera sana.
Kwa tunaotumia JF app mbona tunatumia popote tu, hata kwenye daladala!
ahahahaaa weee nakuona na me nipo hapa orpopong`shamba na ng`oa visikinipo zangu shamba huku kibaya wilayani kiteto naperuzi JF ! Wewe uko wapi ?