Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Mkuu unaishi chini ya jiwe!? Fungua macho na masikio ili ufahamu yanayojiri. Hizo maiti zinazookotwa ufukweni hujasikia? Mwandishi wa Mwananchi zaidi ya wiki tatu leo kapotea Serikali kimyaaaa!!

Hatari sana?
 
Reactions: BAK
Kuna Siku nilimwona mdada mmoja kwenye daladala anafungua jf nkawa namchungulia nmwone atalog in na id gan bahat yake alijificha na kava la simu nisione
Jirani umeanza ushilawadu lin?

Sasa si ulibaki umesimamia visigino?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Saint Ivuga bby umeona apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…