Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Getho kwa mrembo mankaHili swali huwa najiuliza pia mnajificha wapi jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Getho kwa mrembo mankaHili swali huwa najiuliza pia mnajificha wapi jaman
Si mpaka niwaone sasa!!!!Na usinunue gari, utapewa lift na wana JF!
@innaHaya jibu ka meseji kangu kule pm
Kuna mmoja ninaye hapa, muda mwingi anaperuzi JF bila ID. Simuamini kabisa.Mi popote natumia lakin hua najitahidi mtu asione machoandika,mara nyingi napenda nikiwa nimekaa nimetulia
Una shida weweMkuu unaishi chini ya jiwe!? Fungua macho na masikio ili ufahamu yanayojiri. Hizo maiti zinazookotwa ufukweni hujasikia? Mwandishi wa Mwananchi zaidi ya wiki tatu leo kapotea Serikali kimyaaaa!!
Acha zako. Unamuita inna wa nini?Uachage umalaya dogo...
Cc. @Inna@inna
Wewe jamaa acha kuhangaika.Huyu Dogo saiz ni chata mbaya sana aisee. Kumbe na ww umeliona hilo
Aone michepuko yako..R
Acha zako. Unamuita inna wa nini?
Nipunguze nini?Punguza basi
Aone michepuko yako..R
Acha zako. Unamuita inna wa nini?
Msimuite ite sasa.Hahahahaaaa ngoja aje