Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Member wa JF huwa mnajificha wapi mnapo tumia JamiiForums.!??

Mkuu mm kuna dem namgegeda yuko humu jitihada za kujua id yake hazijafanikiwa maana anaificha zaidi ya Osama alivyokuwa akijificha wakati anatafutwa na Wamarekani
Aisee ni noma hao viumbe wanajificha balaa
 
Mkuu unaishi chini ya jiwe!? Fungua macho na masikio ili ufahamu yanayojiri. Hizo maiti zinazookotwa ufukweni hujasikia? Mwandishi wa Mwananchi zaidi ya wiki tatu leo kapotea Serikali kimyaaaa!!
Una shida wewe
 
Jf ni tofauti kiasi na hio mitandao mingine.
Jf watu wanamwaga taarifa ndefu na zenye kuhitaji utulivu wakati wa kuzisoma ili uelewe.
Sasa basi, kama ni hivyo maeneo pia ya kusoma,kudurusu,kudalizi,kudadisi,kuchambua na kuyaelewa hayo maandiko na mabandiko ya jf yanahitaji sifa zake kama
*Ukimya
*Utulivu na utayari..
Sasa sifa za haya maeneo mara nyingi hazipo kwenye madaladala,bar au sehem km hizo.
Ndio maana ni ngumu kuwaona watu wakitumia jf hadharani...sababu huko kwenye kadamnasi kunakosa zile sifa.
 
Back
Top Bottom