Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Ndo maana nimekuitaa yani nikiona comment yako kwenye uzi wangu huwa napata bichwaaaaaa

Ahsante sana, ahsante sana.

Mi sina mashauzi (nikiwa kwenye mood ya kutokuwa na mashauzi) na nazidisha upendo zaidi nikitembelea mitaa ya huku.

Ila mitaa yetu ya jioni kisomo ni ubishi wa Kamikaze na Jiu-Jitsu moves kwenda mbele.

Get together December utaenda?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nikiona koment yako namshukuru mungu kwamba bado upo hai
 
Anastahili na bebi face yake! Najua mtaa wa pili walikuwa wanasubiri kwa hamu reply yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]gusa unase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…