Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Tena zenye maudhui ambayo hayana mwisho na yanayohitaji ufuatiliaji ili mtu ajue hatima ya mwisho wake
Wenye akili watachambua na kupata majibu sahihi
 
Hapana mpwa sio dalili za uzee bali za utu uzima!!!.....

Si unajua uzee mwisho chalinze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh umenichekesha sana ujue nikataman nikuone ulivyoitoa hiyo miwan ghafla na kurudi page yaa 1 usome tena lahaulaaa mambo si mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…