Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mpwa sio dalili za uzee bali za utu uzima!!!.....Mpwa tabia ya kukoment bila kusoma kichwa cha habari ndo dalili ya uzee au?
Muone tu lakini usimpendeNgoja nikamgoogle na mm nimuoneee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh umenichekesha sana ujue nikataman nikuone ulivyoitoa hiyo miwan ghafla na kurudi page yaa 1 usome tena lahaulaaa mambo si mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mpwa sio dalili za uzee bali za utu uzima!!!.....
Si unajua uzee mwisho chalinze
Si ule wa agape?Sasa kama anavutia nitampenda upendo wa kawaida
wewe ndo umenikosesha!Hakupendi jiangalieee na ujifikirie
hahahaah, karibuWaoooh dada nimekuhamu sana nisipokuona jf nakosa rahaaa
Mpwa we acha tu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh umenichekesha sana ujue nikataman nikuone ulivyoitoa hiyo miwan ghafla na kurudi page yaa 1 usome tena lahaulaaa mambo si mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii fursa lazima niitendee hakiHahahah loooh umeanza
umeanzisha uzi kabla ya ""MWISHO WA MWEZI""Kwann iwe mm tena?