Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Hapana mpwa sio dalili za uzee bali za utu uzima!!!.....

Si unajua uzee mwisho chalinze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh umenichekesha sana ujue nikataman nikuone ulivyoitoa hiyo miwan ghafla na kurudi page yaa 1 usome tena lahaulaaa mambo si mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom