Natamani nikujibu jibu sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi dar mbuzi wanachinjwa wapiii
Homa ya dengue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh! Waswahili wanasema "kataa neno.... uskatae wito....." lakini huko nlikoitwa Mmmmmh.... yani ni kama nione missed call ya kidoti..... lazima mwili upatwe na homa!
All of the above..Ndizi au chips
Mkuu bora wewe hujatajwa.... shukuru sana.... Mi nimetajwa na kidoti..... hapa yanagonga, yanarudi! Chochote utakachoskia kimenipata ujue chanzo ndio hicho!Nisipotajwa leo naenda kujinyonga!
Hahaha mkuu kubali tu matokeoKwahiyo mimi sipendwi
Hizi Dua za kutetemesha umma zinahitaji subira sana, tusikate tamaaUsisahau kuomba mkuu una nyota ya jaha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu bora wewe hujatajwa.... shukuru sana.... Mi nimetajwa na kidoti..... hapa yanagonga, yanarudi! Chochote utakachoskia kimenipata ujue chanzo ndio hicho!
Sasa Dom tunakula pundaaa nyama ya mishikaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]supu yake nyama moja 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani nikujibu jibu sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila nakujibu hivi, najua machinjio kule Pugu tu.
Tulio wengi tunawakuta mbuzi buchani tu
Ukitajwa na ambaye hana chura, itakuwaje?Nisipotajwa leo naenda kujinyonga!