Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Member wa kiume wa Jf unayempenda zaidi?

Uje unizime mimi mwenyewe kama yule bonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahah nakwambia ukipanda tu kimbinyiko nabadilisha laini
 
Hivi dar mbuzi wanachinjwa wapiii
Natamani nikujibu jibu sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila nakujibu hivi, najua machinjio kule Pugu tu.

Tulio wengi tunawakuta mbuzi buchani tu
 
Mmmmh! Waswahili wanasema "kataa neno.... uskatae wito....." lakini huko nlikoitwa Mmmmmh.... yani ni kama nione missed call ya kidoti..... lazima mwili upatwe na homa!
Homa ya dengue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati hiyo
 
Natamani nikujibu jibu sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila nakujibu hivi, najua machinjio kule Pugu tu.

Tulio wengi tunawakuta mbuzi buchani tu
Sasa Dom tunakula pundaaa nyama ya mishikaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]supu yake nyama moja 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom